Sehemu ya waliokuwa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwasilisha hoja zao kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Chande leo 7/07/2021, kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Tunguu, Zanzibar na kuhudhuriwa na Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi Bw. Sheusi Mburi na Mbunge wa Jimbo la Magomeni Bi Mwanahamis KassimNaibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Chande (kulia) leo 7/07/2021 amekutana na waliokuwa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais katika kikao kazi cha kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Tunguu, Zanzibar na kuhudhuriwa na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu Bw. Sheusi Mburi na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Muungano (Ofisi ya Zanzibar) Bi. Shumbani Ramadhani Tawfiq
More Stories
WCF yawataka waajiri kutekeleza wajibu wao
Airtel yazindua tena maduka mapya Dar
CRDB yatarajia kutoa gawio la Tsh.65 kwa kila hisa