Afisa Masoko wa Benki ya TPB, Dorothea Joseph (katikati), akizungumza baada ya kutoa msaada wa mahitaji maalum kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Sinza Kitengo cha Mahitaji Muhimu. Hafla hiyo imefanyika jana. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo hiyo, Catherine Msese (kulia). Afisa Masoko wa Benki ya TPB, Dorothea Joseph (katikati), akitoa msaada wa mahitaji maalum kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Sinza Kitengo cha Mahitaji Muhimu kwa Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Catherine Msese (kulia). Msaada huo umetolewa jana. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sinza Maalum, Catherine Msese (kulia), akishukuru msaada uliotolewa na Benki ya TPB kwa shule yake. Hafla hiyo imefanyika shuleni hapo jana. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sinza Maalum, Catherine Msese (kulia) na Afisa Masoko wa Benki ya TPB, Dorothea Joseph, wakiwakabidhi wanafunzi baadhi ya misaada hiyo kwa ajili ya kuihifadhi stoo. Na Mpigapicha Wetu. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Sinza Maalum, wakipiga picha na misaada yao waliyokabidhiwa na Benki ya TPB, katika hafla iliyofanyika juzi shuleni hapo. Picha zote na mpiga picha wetu. Post Views: 727 Continue Reading Previous Serikali yakusanya trilioni 5.9/- kupitia mifumo ya kidijitali ya NMBNext TBS yakabidhi EWURA maabara mbili za upimaji vinasaba kwenye mafuta More Stories 2 min read Habari Kitaifa Wahariri kujadili nafasi ya waandishi matumizi ya gesi April 28, 2024 joyce kasiki 2 min read Habari Kitaifa Serikali itaendelea kushirikiana na shule binafsi-Dkt. Biteko April 27, 2024 reuben kagaruki 3 min read Habari Kitaifa Dkt.Biteko aweka wazi utendaji wa EWURA April 26, 2024 joyce kasiki
More Stories
Wahariri kujadili nafasi ya waandishi matumizi ya gesi
Serikali itaendelea kushirikiana na shule binafsi-Dkt. Biteko
Dkt.Biteko aweka wazi utendaji wa EWURA