Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt . Philip Mpango akikata utepe kuzindua andiko la kampeni kabambe ya kitaifa ya uhifadhi na usafi wa mazingira kwenye Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani nchini yaliyofanyika jana katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na UNIDO wakati wa Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika jana katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.Baadhi ya Mabalozi wa Mazingira Haji Manara na Yvone Cherry Maarufu kama Monalisa wakiwa katika maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika jana katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.
More Stories
Rais Samia asifu juhudi za Nishati Safi ya Kupikia
Gereza kwamngumi lamkabidhi aliyekuwa mfungwa vifaa vya ujenzi
FCC yaongeza mkakati kudhibiti bidhaa bandia