Wananachi mbalimbali Zanzibar wamejitokea kwa ajili ya kuupokea mwili wa Hayati John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Makamanda wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ wakiwa wamebeba jeneza likiwa na mwili wa Hayati John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, baada kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, na kupelekwa Uwanja wa Amaan kwa ajili ya kuagwa na Wananchi wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)
More Stories
TAMISEMI yaomba kupitishiwa bajeti ya shilingi Trilioni 11.78
Sekiboko ahimiza uwekezaji Elimu ya ufundi
CAG alivyoibua madudu mashirika ya umma