Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akimpa maelezo Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama alipokuwa akikagua maendeleo ya ukarabati wa kumbi za Bunge pamoja na Ofisi za Bunge. (Picha zote na Ofisi ya Bunge)Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (kulia) akifafanua jambo kwa Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai alipokuwa akikagua maendeleo ya ukarabati wa kumbi za Bunge pamoja na Sehemu ya jengo la Ofisi ya Bunge likiwa kwenye hatua za mwisho za ukarabati mara baada ya kukaguliwa na Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama hii leo Jijini Dodoma.
More Stories
COPRA yazindua jarida kuongeza uelewa wa fursa kilimo
Mamlaka ya maji Mbeya yaonya wanaoiba mifuniko
Busokelo yajipanga kumaliza udumavu