Na Mwandishi wetu,TimesMajira,Online
CHAMA cha ACT-Wazalendo kinatarajia kuzindua kampeni zake za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya Mbagala kuu.
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Act-wazalendo, Zitto Kabwe anatarajia kuzindua kampeni hizo,leo katika viwanja vya kibasila mtaa wa Mbagala Kuu Kaskazini kuanzia majira ya saa nane mchana.
Uchaguzi huo unafanyika katika kata hiyo baada ya Aliyekuwa Diwani kata ya Mbagala Kuu Shabani Othman Abubakari (CCM)Â kufariki dunia.
More Stories
Sheikh Ponda akabidhiwa kadi ya heshima ya Maalim Seif
Sheikh Ponda kutua rasmi Act Wazalendo
Puma Energy Yazindua Mradi wa Umeme wa Jua kwa Kiwanda cha Alliance One