January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Ziara wa ujumbe wa Benki ya TADB kwa Spika Job Ndugai

Spika wa Bunge, Job Ndugai, (wapili kutoka kushoto) akiwa na ujumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) nyumbani kwake mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi wa TADB, Ishmael Kasekwa, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Frank Nyabundege, na Mkurugenzi wa Fedha wa TADB, Derick Lugemala. Ndugai alimpongeza, Nyabundege kwa kuteuliwa hivi karibuni kushika nafasi hiyo na kuahidi ushirikiano wa Bunge kwa benki hiyo katika kuendeleza sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi nchini. Na mpiga picha wetu.