December 25, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Mkuu Majaliwa atembelea banda la Amref

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa alipotembelea banda la shirika la Amref Tanzania katika viwanja vya Ilulu mkoani Lindi, katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani. Kwa miaka zaidi ya thelathini (30) sasa, shirika la Amref limekuwa likishirikiana na serikali ya Tanzania pamoja na wadau ikiwemo PEPFAR-CDC, USAID pamoja na Global Fund.