December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wasanii walichofanya Ikulu Chamwino Dodoma [PICHA]

Wasanii mbalimbali wakitumbuiza wakati wa hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais John Magufuli maalumu kwa ajili ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM waliotembelea ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Pia Rais Magufuli alitumia fursa hiyo kuwapatanisha Ali Kiba na Diamond Platnumz ambao katika hafla hiyo walikaa meza moja.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA