December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wanafunzi 10 wapoteza maisha baada ya bweni kuteketea kwa moto

WANAFUNZI 10 wamepoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa baada ya bweni la shule ya msingi ya Byamungu Islam iliyoko mkoani Kagera kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.

Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika imesema kuwa bweni hilo lilikuwa na wanafunzi 74.

Taarifa zaidi kuhusiana na tukio hilo zitawafikia hivi punde.