December 29, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wakili Luhende akagua maendeleo ya ujenzi wa ghorofa tano wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende (mwenye shati ya mikono mirefu) akikagua maendeleo ya ujenzi wa ghorofa tano wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unaofanyika Mtumba, Dodoma. Aliyeambatana nae ni mwakilishi wa mkandarasi SUMA JKT
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende akitoa maelekezo kwa mwakilishi wa mkandarasi SUMA JKT wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa ghorofa tano wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unaofanyika Mtumba, Dodoma.
Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo (aliyetangulia mbele) akikagua maendeleo ya ujenzi wa ghorofa tano wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unaofanyika Mtumba, Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakikagua maendeleo ya ujenzi wa ghorofa tano wa Ofisi hiyo unaofanyika Mji wa Serikali eneo la Mtumba, Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende (wa tatu kushoto) akitoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa ghorofa tano wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unaofanyika Mtumba, Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende (wa tano kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya ujenzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, mkandarasi SUMA JKT na mshauri mwelekezi TBA baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa ghorofa tano wa Ofisi hiyo unaofanyika Mtumba, Dodoma.
Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa ghorofa tano wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unaofanyika Mtumba, Dodoma unaofanywa na mkandarasi SUMA JKT na mshauri mwelekezi TBA
Baadhi ya mafundi wa mkandarasi SUMA JKT wakiendelea na ujenzi wa ghorofa tano za Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unaofanyika Mtumba, Dodoma.