December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wajumbe wa Kamati ya PIC watembelea kituo kikuu cha mabasi Msamvu

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), wakitembelea Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro Machi 27, 2024. Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), wakitembelea Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro Machi 27, 2024. Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), Mhe.Augustine Vuma, akizungumza baada ya ziara ya kamati kutembelea na kukagua Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro Machi 27, 2024. Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro

Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji PSSSF, Bw.Rashid Mtima, akizungumza mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC) baada ya ziara ya kamati kutembelea na kukagua Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro Machi 27, 2024. Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Abdul-Razaq Badru, akitoa taarifa ya utekelezaji Mradi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), Machi 27, 2024, Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Abdul-Razaq Badru, akitoa taarifa ya utekelezaji Mradi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), Machi 27, 2024, Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro. Wengine pichani ni Bw. Thobias Makoba (katikati) na Bw. Rashid Mtima, Makamu Mwenyekiti Kamati ya Uwekezaji PSSSF.     

Meneja Uhusiano na Elimu kwa Wanachama PSSSF, Bw. James Mlowe akizungumza mbele ya wajumbe wa kamati.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC).

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), Dkt. Pius Chaya (katikati) akizungumza.

Baadhi ya watendaji wa PSSSF.