December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wadau wapokea tuzo usiku wa madini

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete amekabidhi tuzo kwa wadau mbalimbali wa Sekta ya Madini waliofanya vizuri kwenye shughuli za madini kwa mwaka 2021.

Hafla hiyo ya Usiku wa Madini iliyofanyika tarehe 23 Februari, 2022 pia ilipambwa na Maonesho ya bidhaa za mapambo ya madini iliyolenga kuhamasisha shughuli za uongezaji thamani madini ya Vito na Madini mengine ya thamani