January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Viongozi mbalimbali washiriki ibada ya mazishi ya mama yake mzazi Waziri Dkt. Pindi Chana

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)  Mhe. Ummy Nderiananga akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mama mzazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana  marehemu Regina Mlowe  Mei 22, 2022  mkoani  Iringa .
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana (wa kwanza kushoto) akishiriki ibada ya mazishi ya mama yake mzazi  marehemu Bi.  Regina Mlowe na (wa kwanza kulia) ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Marry Masanja iliyofanyika nyumbani kwa marehemu  mtaa wa Chana mkoani Iringa.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakishiriki ibada ya mazishi ya mama mzazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana  marehemu Regina Mlowe  iliyofanyika nyumbani kwake  mkoani Iringa .
Mbunge wa Jimbo la Isimani  Iringa Vijijini  Mhe. William Lukuvi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mama mzazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana  marehemu Bi.  Regina Mlowe  mkoani Iringa .
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana (katikati) akiwasili katika Kanisa la Romani Katoliki Mshindo lililopo mkoani Iringa kuhudhuria iabada ya mazishi ya mama yake mzazi marehemu Bi. Regina Mlowe aliyefariki Dunia Mei 19, 2022.
Baadhi ya Viongozi wa dini katika Kanisa la Romani Katoliki Mshindo mkoani Iringa wakifanya ibada ya mazishi ya mama mzazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi. Dkt. Pundi Chana marehemu Bi. Regina Mlowe katika  Kanisa hilo.
Baadhi ya waombolezaji wakishiriki ibada ya mazishi  ya  mama mzazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi. Dkt. Pundi Chana marehemu Bi. Regina Mlowe katika  Kanisa la Romani Katoliki Mshindo mkoani Iringa .
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)  Mhe. Ummy Nderiananga  (wa kwanza kulia) anayefuata ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Marry Masanja wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mama mzazi wa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana  marehemu Bi. Regina Mlowe  aliyezikwa katika makaburi ya Makanyagio Mei 22 , 2022 mkoani  Iringa .
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe.  David Ernest Silinde akitoa salamu za Serikali wakati wa mazishi ya  mama mzazi wa Waziri wa maliasili n autalii Mhe. Balozi. Dkt. Pindi chana aliyefariki Dunia Mei 19, 2022 na kuzikwa katika makaburi ya Mkanyagio Mei 22, 2022 mkoani Iringa.