December 28, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

TEF wasikitishwa na vitendo vya mgambo wa DSM kunyanyasa wauza magazeti

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na vitendo vilivyofanywa na Askari wa Jiji la Dar es Salaam, vya kuwanyanyasa na kuchukua meza za wauza magazeti wanaofanya shughuli zao maeneo mbalimbali ya jiji hilo;