Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Alex Msama ametangaza Tamasha la Pasaka mwaka 2024 linatarajia kuanza kufanyika katika mkoa wa Dar es Salaam siku ya Pasaka tarehe 31 mwezi 3 mwaka 2024
Waimbaji mbali mbali wa muziki wa Injili watashiriki katika Tamasha hili kubwa la Pasaka kwa mwaka 2024.

“Maandalizi makubwa yanaendelea kufanyika, na Tamasha la mwaka huu limekuja na kauli mbiu inayosema ” Amesema Msama

More Stories
Azania yatoa mikopo ya Sh5 bilioni kwa wachimbaji
Wakazi Kahama kunufaika na huduma za mawasiliano
Kamati ya serikali yakagua miundombinu kuelekea AFCON 2027