January 1, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Tamasha la pasaka kufanyika mwezi Machi

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Alex Msama ametangaza Tamasha la Pasaka mwaka 2024  linatarajia kuanza kufanyika katika mkoa wa Dar es Salaam siku ya Pasaka tarehe 31 mwezi 3 mwaka 2024

Waimbaji mbali mbali wa muziki wa Injili watashiriki katika  Tamasha hili kubwa la Pasaka kwa mwaka 2024.

“Maandalizi makubwa yanaendelea kufanyika, na Tamasha la mwaka huu limekuja na kauli mbiu inayosema ” Amesema Msama