January 1, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Tamasha la Wahaya lahudhuriwa na viongozi mbalimbali

Na Prona Mumwi, TimesMajira Online, Dar es Salaam
Meneja masoko na mawasiliano wa Lake Energies, Matina Mkulu, akimuonesha Mbunge wa Muleba Charles Mwijage na Prof.Anna Tibaijuka akimuonesha bidhaa mbalimbali katika banda lao baada ya kutembelea banda hilo wakati wa Tamasha la Buhaya Festival lililofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Picha na Prona Mumwi

Meneja Masoko na mawasiliano wa Lake Energies, Matina Nkulu, kulia akifafanua jambo mbele ya wateja waliotembelea banda hilo wakati wa Tamasha la Buhaya Festival lililofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Picha na Prona Mumwi