Na Penina Malundo,timesmajira,Online
CHAMA cha Mapinduzi CCM chapata safu mpya ya Sekretarieti ya Chama hicho.
Katibu Mkuu wa CCM- Ndg Daniel Chongolo (Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Kinondoni)
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM- Ndg Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Uchumi na Fedha Frank George Hawasi aendelee na nafasi yake
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ngebela Lubinga aendelee na nafasi yake
Katibu wa NEC Oganaizesheni -Ndg Mama Maurdin Kastiko
( Ndg Pereira Silima atapangiwa majukumu mengine ya kitaifa)
Naibu Katibu Mkuu Bara- Christina Mndeme (Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma)
(Ndg Rodrick Mpogolo atapangiwa majukumu mengine ya kitaifa)
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar- Abdallah Juma Sadala Mabodi anaendelea na nafasi yake
More Stories
Premier Bet yamtangaza mshindi mkubwa
Dkt. Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
MSF ilivyojidhatiti kusaidia serikali katika utoaji wa huduma za afya