Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online
MUIGIZAJI wa filamu na Mjasiriamali hapa nchini Shamsa Ford amesema, yeye kama mwanamke anajua sana thamani ya mume kutokana na maadili aliyolelewa pindi anapokuwa mke wa mtu.
Akizungumzia hilo kupitia kwenye Ukurasa wake wa Instagram Shamsa amesema, licha ya kutokuwa na shape nzuri, sura pamoja na mwili lakini anajua sana kutafuta maisha ndio maana hawezi kuyumbishwa.
“Naweza nisiwe na shape unayoitaka, sura unayoitaka, umri unaoutaka lakini ninajua maisha, najua kuyatafuta maisha na najua thamani ya mwanaume,” amesema Shamsa.
More Stories
Startimes yazindua makala ya China, Africa
Mwanasheria wa Katavi aliyetimkia kwenye muziki achaguliwa tuzo za MIEMMA
Coca-cola ‘Kitaa Food Fest’ yahitimishwa kwa mafanikio