Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Majira, Imma Mbuguni katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani leo yanayofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kilichopo Tunguu, Wilaya ya Kusinii Unguja. (Na Mpigapicha Wetu) Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Abeda Rashid Abdallah (aliyeketi) akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Majira katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani leo yanayofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kilichopo Tunguu, Wilaya ya Kusinii Unguja. (Na Mpigapicha Wetu) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma, akijadiliana jambo na Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja, Rajab Mkasaba(koshoto) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani leo yanayofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kilichopo Tunguu, Wilaya ya Kusinii Unguja. (Na Mpigapicha Wetu) Maafisa Uhusiano wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Maulid Yussuph(kushoto) na Salma Lusangi wakijadiliana jambo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani leo yanayofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kilichopo Tunguu, Wilaya ya Kusinii Unguja. (Na Mpigapicha Wetu) Baadhi ya wazee wakisikiliza kinachoendelea katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani leo Post Views: 330 Continue Reading Previous Shamrashamra za Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yafana Zanzibar(Pichani)Next Watu 352 wafanyiwa uchunguzi wa moyo Dar More Stories Habari Wenje:Tuwanadi wagombea bila kuchafuana January 3, 2025 Judith Ferdnand Habari Mtoto darasa la tatu adaiwa kujinyonga kwa kukosa nguo ya sikukuu January 3, 2025 zena chitwanga Habari Jeshi la Polisi Katavi laanika mafanikio 2024 January 3, 2025 zena chitwanga
More Stories
Wenje:Tuwanadi wagombea bila kuchafuana
Mtoto darasa la tatu adaiwa kujinyonga kwa kukosa nguo ya sikukuu
Jeshi la Polisi Katavi laanika mafanikio 2024