December 27, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Samia ateua mkurugenzi mpya AICC

Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline,Dar

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua, Christine Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

Mwakatobe alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji
Kiwanja cha ndege cha Kilimanjaro (KADCO)