December 25, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Samia amteua Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi katika Serikali ikiwemo Makatibu wakuu na Balozi.