MWENYEKITI wa Chama Cha Mapindizi (CCM), Samia Suluhu Hassan,ambaye pia ni Rais wa Jamhuria ya Muungano wa Tanzania, akifungua semina ya mafunzo kwa ajili ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) leo Unguja , Zanzibar. (Picha na CCM Makao Makuu)
Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku mbili ikiwa na lengo la kuendelea kuwajengea uwezo wajumbe pamoja kuimarisha Chama Cha Mapinduzi.Â










More Stories
Ussi awataka wananchi Handeni kulinda miundombinu ya maji
Wapambe waanza rafu za uchaguzi Morogoro Mjini
Daraja la J.P.Magufuli kuzinduliwa Juni 19,2025