December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Saady Khmji ajitosa ujumbe Baraza kuu wazazi Taifa

Na Heri Shaaban, TimesMajira Online, Ilala

SAADY KHIMJI amejitosa katika kinyang’anyiro Cha kugombea Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi Taifa Viti vitatu Bara

Akizungumza amesema anakipongeza Chama Cha Mapinduzi Halmashauri Kuu CCM Taifa Kwa Uteuzi huo kugombea nafasi hiyo .

Kimji alisema katika uzoefu wa Uongozi ndani ya chama MWENYEKITI UVCCM Tawi na Kata ,nafasi zingine za uongozi Katibu wa Uchumi na fedha Kata ya Ilala

Alisema bafasi zingine za uongozi ambazo ameshika Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Klabu ya Yanga (EXCOM) Katbu wa uhamasishaji Chipukizi Mkoa Dar es Salaam,Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa 2022 /2027, Mjumbe wa Mkutano Mkuu Wazazi Mkoa Dar es Salaam

Diwani wa Kata ya Ilala 2015 mpaka Sasa ,Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Naibu Meya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Chagua Saady Khimji Baraza Kuu la Wazazi Taifa Viti vitatu Bara