December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia, Nyusi katika maonesho ya sabasaba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakitembelea mabanda mbalimbali ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kufungua Rasmi Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.