December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia azindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo Morogoro

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Samia Suluhu Hassan leo August 02,2024 ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani Morogoro ambapo mapema asubuhi amezindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo Mkoani humo ambayo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 4.8.