December 22, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia akutana na Rais Nyusi

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Matukio tofautitofauti alipowasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Julai 02,2024.