January 8, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia akifungua kikao cha kazi cha Tathmini ya mwaka mmoja Jeshi la Polisi

Rais Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam.
Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Maofisa wa Jeshi la Polisi Wanawake muda mfupi baada ya kufungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam.
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kufungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.