December 28, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia afanya uteuzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2023.