January 9, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Pinda akutana na mgunduzi wa mita ya maji inayotoa taarifa

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri Mkuu wa Zamani, Mizengo Pinda akipata ufafanuzi kutoka kwa mgunduzi wa mita akimuelezea jinsi mita hiyo inavyotoa taarifa pale maji yanamwagika hovyo mtaani na unlipia maji kabla ya kuyatumia wakati alipotembelea banda la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) kwenye maonesho ya 46 ya Sabasaba.