Fresha Kinasa, TimesMajiraOnline,Mara. SHIRIKA la Hope for Girls and Women in Tanzania (HGWT) linalojishughulisha na kupambana na vitendo vya Ukatili...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Pemba KATIKA kilele cha maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, wananchi wa Zanzibar...
Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma SERIKALI imewataka waombaji wa ajira Serikalini kujiunga na Mfumo wa Serikali wa Ajira Portal utakaowawezesha kuoata...
 Na Penina Malundo,Timesmajira Asasi za kiraia (AZAKI) zimependekeza kwa serikali katika kuboresha Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050,kuhakikisha sekta ya...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira Katavi Jeshi la Uhifadhi nchini limetakiwa kuhakikisha linaimarisha ulinzi katika maeneo yaliyohifadhiwa kisheria, ili kupambana na...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online, Mwanza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limefanikiwa kudhibiti jaribio la uhalifu,lililotokea, Januari 9,2025, majira...
Na Bakari Lulela,Timesmajira MWANASIASAÂ mkongwe wa Chama cha Mapindizi (CCM)ambaye ni mjumbe wa chama hicho shina namba 7Â Â Sadiki Nassoro...
Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma WIZARA ya Elimu,Sayansi na Teknolojia inatarajia kuzindua rasmi Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014...
Na Agnes Alcardo, Timesmajiraonline KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo amesema...
Na Allan Kitwe,Timesmajiraonline,Tabora WATUMISHI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Mkoani hapa wametakiwa kutimiza majukumu yao ipasavyo ikiwemo kuhakikisha mapato...