January 20, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mwenyekiti UVCCM Taifa afanya ziara Mkoa wa Manyala

Na Mary Maragwe, TimesMajira Online

Leo tar 14.02.2023 Mkoa wa Manyara umepata fursa ya kutembelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na mjumbe wa kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Komrade Mohammed Ali Kawaida, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kuwatembelea viongozi wakuu wastaafu wa UVCCM Taifa.

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na mjumbe wa kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Komrade Mohammed Ali Kawaida akizungumza na Aliyekua Mwenyekiti wa Uvccm kipindi kilichopita Kheri James na Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kuwatembelea viongozi wakuu wastaafu wa UVCCM Taifa, Picha na Mary Margwe
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na mjumbe wa kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Komrade Mohammed Ali Kawaida akiwa na Mwenyekiti wa Uvccm Mji wa Babati, Mkoani Manyara Magdalena Urono, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kuwatembelea viongozi wakuu wastaafu wa UVCCM Taifa, Picha na Mary Margwe