Na Mary Margwe, TimesMajira Online
Miradi ya 5 Halmashari ya wilaya ya Babati yenye thamani ya sh.bil.1,076,262,620.66 yote imetimiza vigezo vya kuzinduliwa na mingine kuwekewa nawe ya Msingi na Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2022.
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara Anna Mbogo alisema kati ya miradi hiyo miradinmiwili ilizinduliwa, mirqdi mingine ipiwekewa mawe ya msingi na mradi mmoja kuonwa.
” Kati ya fedha hizo michango ya wannchi ni sh.mil.40,685,000, serikali kuu sh.mil.480,085,038.66, halmashauri sh.mil.54,208,000 huku wadau wengine nao wakichangia sh.mil.501,284,582″ alisema Mbogo.
Mkurugenzi Mtendaji wahalmashauri ya wilayanya Babati Anna Mbogo akishikoshwa mwenge wabuhuru na mmoja kati ya vijana 6 wakimbiza Mwenge Kitaifa 2022 Emmanuel Ndege Chacha, Mwenge ulipokua wilayani humo juzi, Picha na Mary Margwe.
More Stories
Serikali kupeleka mawasiliano maeneo ya mipakaniÂ
Sekondari ya Butata mbioni kufunguliwa Musoma Vijijini
TIC yapongeza mradi wa Kampuni ya Big Best