Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Christian Makonda, amemtembelea aliyekuwa Mkuu wa Majesho ya Ulinzi na Usalama Nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA), Jenerali Venance Mabeyo, nyumbani kwake Dar es salaam leo tarehe 26 Novemba, 2023.



More Stories
Madiwani Ilala walia na dampo la Pugu
TLS yaishauri serikali kuanzisha chombo maalumu
Ridhiwani ataka watu wenye ulemavu wapewe fursa