Na Rehema Lyoka
TATIZO la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu ,bali duniani kote. Hapo zamani tatizo hili lilikuwa la wazee au watu wazima zaidi .
Lakini leo hii limekuwa ni tatizo la vijana zaidi kuliko hata wazee , changamoto ni kwamba vijana wengi wanaogopa kusema kwa kuhofia kuchekwa ,ila swali la kujiuliza ni chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume ni nini?
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI ?
Upungufu wa nguvu za kiume ni shida ya kawaida kati ya wanaume na inaonyeshwa na kutokuwa na uwezo thabiti wa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu au kushindwa kufurahia tendo la ndoa , Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni changamoto inayohitaji tiba.
Kuna watu huwa hawajitambui kama wana tatizo la kuishiwa nguvu za kiume , na hatimaye tatizo huwa kubwa zaidi
Upungufu wa nguvu za kiume siyo ugonjwa ni dalili ya ugonjwa , kuna sababu zake ndani ya mwili .Mwanaume anaekabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume huonyesha dalili kama vile;
Kukosa hamu ya tendo la ndoa, kukosa pumnzi na kuwa na hali ya kutokuwa na uchangamfu wa mwili kati hali ya utendaji, kushindwa kufikia kishindo, Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo la ndoa, kuchoka sana baada ya usingizi mzito na kuhisi hali ya kichefuchefu.
VYANZO VYA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Kuna maradhi kadhaa , tabia na mtindo wa maisha vinavyoweza kupelekea upungufu wa nguvu za kiume kama vile;
Msongo wa mawazo, kujichukua, kisukari, presha ya kupanda na kushuka, kutokuwa maji ya kutosha,hali ya kutopata usingizi wa kutosha ,maambukizi mbalimbali kwenye via vya uzazi, utumizi wa dawa mbalimbali ya kuimarisha misuli au kuongeza hisia ( libido) ,utumizi wa sigara na unywaji wa pombe kupinduki, Ulaji holela wa vyakula vye mafuta,magonjwa mbalimbali kama vile vidonda vya tumbo, bawasili, ugonjwa wa moyo na hata umri pia.
Sababu nyingine ni saratani ya tezi dume, matibabu ya mionzi ya tezi dume na upasuaji , bila kusahau sabanu nyingine ni maumivu makali ya mgongo , kiuno ,baadhi ya madhara ya dawa za kemikali, kiharusi (stroke) . Hivyo mwanaume anapopungua nguvu za kiume ina maana kuna ugonjwan ndani yake.
UKIGUNDUA UNA UPUNGUFU
Kosa kubwa wanalofanya wanaume wengi wanapogundua wana upungufu wa nguvu za kiume ni kwamba wanakimbiliaga kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume , na siyo kutibu chanzo cha tatizo.
Kosa lapili ni kukimbilia dawa za kemikali, dawa hizi sio kwamba hazitibu bali pia zina madhara mengi sana kiafya.
Inaelezwa kuwa watu wenye unele wa kupitiliza wapo hatarini kupata changamoto hiyo lakini ni vyema sasa wenye matatizo kama hayo wakatumia virutubisho vya asili ambavyo ni msaada katika katika kutatua.
Ikiwa una matatizo kama vile upungufu, wa nguvu za kiume, bawasili, tezi dume, shinikizo la damu, matatizo ya moyo, matatizo ya figo, changamoto ya mambo ya uzazi nk.
Kwa ushauri na matibabu tembelea Mwaka International Plan au fika jengo la Ubungo Plaza ghorofa ya pili AU TUPIGIE SIMU KWA NAMBA: 0785 100 100 AU 0758 100 100
More Stories
Hivi ndivyo TASAF ilivyoshiriki kumaliza kilio cha wananchi Kata Bwawani, Arusha
Mfumo unavyokwamisha wanawake kuwa viongozi
Mussa: Natamani kuendelea na masomo,nikipata shule ya bweni