Meneja wa Serengeti Breweries mkoa wa Mwanza James Alphaxard, akizungumza na wateja wa vinywaji ya kampuni hiyo ya bia kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Makumbusho, kulia ni mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Igoma jijini Mwanza Melina Francis, ambapo alikabidhiwa mfano wa hundi ya Shilingi laki tano(5). Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Igoma jijini Mwanza Melina Francis, akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano(5) kutoka kwa Meneja wa Serengeti Breweries mkoa wa Mwanza James Alphaxard (kushoto) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Makumbusho. Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Igoma jijini Mwanza Melina Francis, akionesha kwa furaha meseji ya muamala kwenye simu yake baada ya kutumiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited(SBL) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Makumbusho. Wateja wa vinywaji vya Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited(SBL) wakituma namba za kushiriki promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo eneo la Igoma jijini Mwanza, kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi ya mshindi wa promosheni hiyo iliyofanyika kwenye baa ya Makumbusho. Post Views: 458 Continue Reading Previous Wanufaika: WCF imetufuta machoziNext RPC aeleza Holyland ilivyompa somo kuhusu saikolojia kwa watoto More Stories Habari Wanaoficha watoto wenye ulemavu kusakwa January 8, 2025 Judith Ferdnand Habari Mawakili Tabora walaani kuziwa kutekeleza majukumu January 8, 2025 Judith Ferdnand Habari RC Mrindoko:Ufyekaji wa mahindi Tanganyika si maelekezo ya serikali January 8, 2025 zena chitwanga
More Stories
Wanaoficha watoto wenye ulemavu kusakwa
Mawakili Tabora walaani kuziwa kutekeleza majukumu
RC Mrindoko:Ufyekaji wa mahindi Tanganyika si maelekezo ya serikali