December 25, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mpango wa kuwaondoa wamasai ngorongoro una manufaa

Jarida namba moja la utafiti barani Afrika liitwalo Africa Science Magazine limetoa utafiti wa mpango wa kuwaondoa Wamasai Ngorongoro una manufaa zaidi kwa kuokoa hifadhi ya Ngorongoro kwa vizazi vijavyo.