December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mkurugenzi Mkuu TCAA awasili Bungeni

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari akiwa pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi wakifuatilia uwasilishwaji wa hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya ya Uchukuzi kwa mwaka 2024/2025 inayowasilishwa na Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, Bungeni, Dodoma.