Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.



More Stories
Kamishna Kuji ahimiza Uadilifu, Ushirikiano kuimarisha Uhifadhi kisiwa cha Rubondo
Yas Tanzania yafuturisha wateja wake Zanzibar
Mkurugenzi VETA ateta na Mhitimu wa ushonaji, ubunifu na teknolojia ya nguo