December 27, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Meridianbet yamtajirisha mtu Mil. 60/=

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira

 Mchezo wa Aviator ni moja ya sloti rahisi za ushindi kutoka Meridianbet, unaweka dau lako unalotaka kisha unarusha ndege na kusubiri kushinda.

Maneno kidogo pesa nyingi kauli hii inathibitishwa na moja ya mteja wa Meridianbet (Jina lake limehifadhiwa) alicheza Sloti ya Aviator na kupiga Tsh 60,000,000/=, huyu jamaa yeye hucheza kasino ya mtandaoni lakini alivyojua kuhusu mchezo huu alianza kucheza mara kwa mara.

Huenda ukawa unajiuliza mwamba alipigaje mkwanja huu mrefu, ila ni rahisi sana alichokifanya ni kuweka dau lake dogo tu kisha akabonyeza kitufe cha kurusha ndege ya Aviator, alisubiri mpaka ndege ya Aviator ilipofika kwenye odds ya 200 aka-Cash Out. Aliendelea kufanya hivi mara tatu mfululizo ambapo kila raundi alikuwa akishinda Tsh 20,000,000/=

Kasino ya mtandaoni Meridianbet ina michezo mingi ambayo yote inakupa nafasi ya kushinda pesa na kuwa Milionea ukiachana na sloti ya Aviator kuna Poker/Karata, Roulette, Blackjack, Titan Dice na mingine mingi inakupa nafasi kuwa Tajiri bila mateso.

Kitu kingine kikubwa kutoka Meridianbet wanakupa ofa ya mizunguko 50 ya bure kwa mteja atakayejisajili na Meridianbet, mizunguko hii itakuwezesha kucheza sloti uzitakazo za kasino ya mtandaoni, Cheza hapa.

NB: Bado hela zinaendelea kutoka kwenye Jakipoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE