Na Mwandishi Wetu, Timesmajira
Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/vaoi1Y
Furahia sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici!
Miongoni mwa dola zilizotawala ulimwengu kwenye maeneo mengi ni dola ya Warumi/Roma, utawala huo ulianzishwa mnamo mwaka 31BC na mtawala wa kwanza wa Roma alikuwa Augustus Caesar ambaye alitawala mpaka mwaka 1453CE baada ya kuanguka kwa Constantinople.
Utawala huo ulisambaa maeneo hadi maeneo, nchi na nchi huku viongozi wakipokeza na hatimaye leo kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inamzungumzia mtawala wa Warumi Gaius Julius Caesar ambaye aliitawala Roma kuanzia mwaka 49BC hadi alipouawa mwaka 44BC.
Ushawishi wa hadithi za Kirumi pia unatambuliwa kwa jina la sloti ambapo meridianbet kwa kushirikiana na mtoa huduma Expanse Studios wameibadili stori hii na kuwa mchezo, lakini mchezo huu una kitu gani kipya?
Sloti ya Veni Vidi Vici ina Kolamu ambayo inakupa taji la mvinyo, ngao na upanga, mikokoteni, askari wachache, wakati alama ya msingi ya mchezo ni Caesar mwenyewe.
Kadi mbili za porini (Wild) zinakuongoza kwenye mzunguko wa bonasi kutoka Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, wakati kadi tatu au zaidi za porini (Wild) zinaamsha Bonasi ya Sloti ya Veni Vidi Vidi.
Kuna msemo mmoja mkubwa wa Gaius Julius Caesar husema ’kete imetupwa’ na katika kasino ya mtandaoni mchezo wa Veni Vidi Vici, Caesar huzungusha kete! Aina hii ya bonasi inakuja katika ngazi tatu, na ya tatu inaweza kukuletea ushindi mpaka mara 1,000 zaidi!
Sloti hii ina bonasi ya ubashiri ambayo inaweza kuongeza kila ushindi mara mbili, pamoja na jackpots tatu zinazoendelea: Mini, Midi na Mega.
Sifa kuu ya sloti hii ni chaguo la BONASI NUNUA (Bonus Buy option), ambalo unaweza kuwezesha Bonasi ya Veni Vidi Vici, na RTP nzuri ya 96.28%!
Dhibiti Ufalme/ Kasri ya Roma na upate mafanikio makubwa!
More Stories
Zanzibar kuzalisha wachezaji wenye vipaji
Othman awakabidhi jezi Zanzibar Heroes
Rais Samia: Yanga endeleeni kuipeperusha bendera ya Tanzania