Na Mwandishi Wetu, Timesmajira
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekuletea promosheni nyingine wewe mteja mpya ambaye unaanza kuitumia Meridianbet, unambiwa kwamba ukijisajili na kufungua akaunti yako unapewa bonasi ya ukaribisho Tsh 25,000/=
Kila siku Meridianbet inakupa ofa kabambe, promosheni na bonasi nyingi kwenye moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni kama sloti ya Aviator, Roulette, poker na mingine mingi ambayo inakupa buradani ya kutosha ukiwa mawindoni kusaka utajiri.
Habari njema kwa wateja wapya wa Meridianbet kasino ya mtandaoni wale ambao ndio kwanza wamejisajili tu na kisha kuweka salio, Meridianbet inawazawadia bonasi ya Tsh 25,000/= kucheza sloti za kasino ya mtandaoni kama vile aviator, poker, roulette, spinning budha n.k
Bonasi ya ukaribisho uliyoipata itawekwa kwenye akaunti yako ambapo hutoweza kuitoa lakini itakuruhusu kucheza sloti za kasino ya mtandaoni na sloti hizo ni nyingi lakini rahisi kucheza na kushinda ni aviator, poker, roulette ingia mchezoni kitajiri Zaidi.
Haijaishia hapo tu kuna bonasi nyingine ya mizunguko 50 ya bure kucheza sloti/ michezo ya kasino ya mtandaoni ambao unaupenda/kuipenda ambayo wanapewa wateja wote wanaojisajili na Meridianbet.
NB: Meridianbet wanakurudishia x100 ya dau lako pale ambapo tiketi yako itachanika kwa mechi moja. Lakini kuna Jackpoti kubwa ya Tsh Milioni 85 kwa timu 13, na ukikosea mechi moja au mbili unapewa kuanzia 500,000/= TZS mpaka 10,000,000/= TZS
More Stories
Zanzibar kuzalisha wachezaji wenye vipaji
Othman awakabidhi jezi Zanzibar Heroes
Rais Samia: Yanga endeleeni kuipeperusha bendera ya Tanzania