January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Meridianbet kunogesha Pasaka na  Odds kubwa Wikiendi hii

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira

 Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/7p1fiy

Meridianbet wanasema, nogesha pasaka yako kwa kuwa na mihela ya kutosha kutumia na familia yako huku ukiangalia mechi mbalimbali za Jumamosi na Jumapili ambazo zina  odds kubwa.

Wakati ukijiandaa kusherehekea Sikukuu ya Pasaka hakikisha umeandaa na tiketi yako yenye odds kubwa na machaguo kibao kutoka Meridianbet, kubwa Zaidi ni kwamba Ten Hag atakuwa na maswali ya kujiuliza Zaidi dhidi ya Everton baada ya kupoteza mchezo uliopita kwa mabao 2-0 dhidi ya Newcastle. Kasino ya mtandaoni Meridianbet inalipa.

Nao Chelsea baada ya kumtia Graham Potter na sasa timu ipo chini ya Frank Lampard, Je unadhani wakali hao wa London wataweza kuonesha makucha yao kwa Wolves? Kwa odds kubwa ya ushindi kila timu, 2.35 vs 2.99 upewe nini tena kutoka Meridianbet. Man City atakuwa ugenini dhidi ya Soton, Brentford vs Newcastle. Bonyeza hapa kuona odds kubwa na kubashiri.

Jumapili ya Pasaka inogeshe kwa machaguo mengi na odds kubwa za Meridianbet, ni Liverpool dhidi ya Arsenal, odds kubwa za ushindi ni 2.74 vs 2.39. Unadhani Klopp atapoteza tena au Arsenal ataendeleza moto wake.

Nice atakipiga na PSG ambayo imekua inasuasua siku za hivi karibuni. Kule Serie A ni Lazio vs Juventus, Torino vs Roma. Tembelea duka la ubashiri lililo karibu yako utandike jamvi lako.

Mabingwa watetezi wa La Liga Real Madrid atajiuliza kwa mara nyingine tena dhidi ya Villarreal huku Espanyol vs Athletic Club na mechi nyingine nzuri ya hela ni Osasuna vs Elche. Ukiachana na ubashiri wa soka kuna kasino ya mtandaoni inakupa hela papo hapo.

NB: Meridianbet wanakurudishia x100 ya dau lako pale ambapo tiketi yako itachanika kwa mechi moja. Bonyeza hapa kufahamu kuhusu ofa hii www.meridianbet.co.tz