Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online
WASANII mbalimbali hapa nchini, leo walijumuka kwa pamoja kuhudhulia Maonesha ya Biashara katika viwanja vya sabasaba vilivyopo Temeke, Dar es Salaama kwa ajili kukutana na mashabiki zao kupitia maonesho hayo.
Akizungumzia hilo muandaaji wa ‘Meet your Star’ Zamaradimketema amesema, lengo ya kuandaa program hiyo ili kuwapa nafasi wananchi kukutana na Wasanii tofauti tofauti na kuona Biashara zao kutokea hapo Viwanja vya Sabasaba.
Katika uzinduzi wa Program hiyo uliofanyika leo, Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo.
Miongoni mwa mastaa waliotinga Sabasaba ni Kajala Masanja akiwa na mtoto wake Paula, Malkiakaren, Favoured myra, Shilole, Ankoo zumo na wengine wengi.Huku ikiwa mara ya pili kufanyika kwa Meet your Star katika maonesho hayo.
More Stories
Startimes yazindua makala ya China, Africa
Mwanasheria wa Katavi aliyetimkia kwenye muziki achaguliwa tuzo za MIEMMA
Coca-cola ‘Kitaa Food Fest’ yahitimishwa kwa mafanikio