January 9, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mashabiki wa Simba wazidi kumiminka Uwanja wa Benjamini Mkapa

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online

Mashabiki wa Simba, tayari wamejitokeza kwa wingi

ndani na nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar

es Salaam kwa ajili ya sherehe za SimbaDay mwaka huu.

Tiketi zote za Tamasha hili zimekwisha hii leo.

Pamoja na Burudani za Muziki kutoka kwa Wasanii

Mbalimbali, Pia Mashabiki watawaona wachezaji wao

wapya watakapo kuwa dimbani kukipiga dhidi ya

Mabingwa mara tano wa Afrika, TP Mazembe kutoka DR

Congo.