December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini wakutana kutekeleza maagizo ya TCD

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) – Bara, Anamringi Macha leo Aprili 5, 2023 ameongoza kikao kazi cha makatibu wakuu wa vyama vya Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kuangalia utekelezaji wa shughuli za kituo hicho.