Na Mwandishi Wetu, Timesmajira
WIKI hii tutashuhudia miamba ya soka Ulaya katika mechi za mtoano za Ligi ya Mbingwa Ulaya, ambapo Liverpool itavaana na Real Madrid huku Napoli dhidi ya Inter Millan, Man City vs RB Leipzing.
Kampuni ya Meridianbet mabingwa wa ODDS kubwa na Kasino ya Mtandaoni kwa mara nyingine wametoa machaguo kibao, takwimu za kila timu na odds kubwa. Bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet. Madrid vs Liverpool, Man City vs RB Leipzig, FC Porto vs Inter, Napoli vs Frankfurt unampa nani?
Real Madrid vs Liverpool (Odds kubwa)
Hafiki ila imefika ni Madrid wenyeji wa Liverpool pale Santiago Bernabeu ni Allison Becker vs Thibaut Courtois nani kutoruhusu lango lake kufungwa? Ni Benzema na Nunez, Salah na Vini Jr nani kuifungia timu yake? Timu hizi zimekutana mara 9 Madrid ameshinda mara 6, Liverpool mara 2 na sare 1. Je Klopp na vijana wake watatoka salama Santiago? Bashiri na Meridianbet uapate odds kubwa pia kuna kasino ya mtandaoni.
Hata hivyo mchezo wa kwanza kwenye dimba la Anfield Majogoo walicharazwa mabao 5-2, Je wataweza kupindua meza ugenini? kamata odds kubwa uziweke kwenye mkeka wako wa Meridianbet. 2.35 mwenyeji ashinde dhidi ya 2.74 Liverpool ashinde mbele ya Madrid. bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet.
Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.
Vijana wa Pep Guardiola watakuwa kwenye dimba lao la Ethiad kukipiga dhidi ya RB Leipzig, Man City ana 1.34 ashinde huku RB Leipzig ana 8.24 akishinda. Meridianbet wanakwambia CHAGUA TUKUPE iwe ni odds kubwa watakupa, Kasino ya mtandaoni, kubashiri mubashara unaweza, michezo ya sloti kama Aviator, poker na Roulette yote unaipata kubwa Zaidi ukiona jamvi lako linataka kuchanika unaweza kucash out/Kuturbo.
Estadio do Dragao kitawaka ni miamba wawili itapambana mwenye FC Porto dhidi ya Inter Milan, hakikisha umetengeneza mkeka wako wa ushindi kwa odds kubwa na dau kubwa ili ushinde mkwanja mrefu, timu hizi zimekutana mara 6, Milan kashinda mara 1, Porto 1 na sare ni 1, leo itakuaje? Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni ni sehemu salama ya kuweka pesa yako na kushinda kirahisi.
Unakamilishaje wiki yako ewe gwiji la kubashiri bila hujapita dula la ubashiri la Meridianbet? Haiwezi kukamilika nakupa mbinu rahisi ya kutochana mkeka wako. Chagua odds kubwa, weka dau kubwa, na cheza mara nyingi Zaidi, weka machaguo yako unayoyapenda, mfano mechi ya Napoli vs Frankfurt odds kubwa ni 6.07 ya Frankfurt dhidi ya 1.50 ya Napoli ushindi na sare ina 4.30 chaguo ni lako. Kama sio mpenzi wa kubashiri soka, Chagua tukupe michezo ya kasino ya mtandaoni yenye sloti pendwa kama Aviator, Poker na Roulette. Bashiri na Meridianbet.
NB: Meridianbet imekuja na Jackport kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
More Stories
Naibu Waziri wa Fedha abariki ujio mpya wa Bahati Nasibu
Zanzibar kuzalisha wachezaji wenye vipaji
Othman awakabidhi jezi Zanzibar Heroes