January 20, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mabingwa 100 mtoko wa BETIKA washuhudia Mechi ‘Simba Vs Yanga Live’

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Matukio katika Picha: Mabingwa 100 wa mtoko wa kibingwa wa BETIKA wakishuhudia mechi ya Simba dhidi ya Yanga wakiwa VIP A katika uwanja wa Benjamin Mkapa jana jijini Dar es Salaam.