Na Mwandishi Wetu, Timesmajira
Kiungo wa klabu ya KMC FC Awesu Awesu amefanya tukio kubwa na la kuigwa kwa kushirikiana na Meridianbet, baada ya kutoa msaada wa vyakula sehemu ambapo alikulia na kuanza kucheza soka akiwa mdogo. Meridianbet wanatoa odds kubwa na kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni unaweza kushinda mkwanja mrefu na wewe ukaweka heshima mtaani kwako.
Mchezaji Awesu Awesu aliambatana na Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni walifika mtaani kwa mchezaji huyo Magomeni ambapo ni sehemu alipokulia na kukuzwa waliweza kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa watu wasiojiweza kama Mafuta ya kupikia, Sukari, Mchele, Sabuni, pamoja na vifaa vya kufanyia usafi.
Akiongea na wanahabari Awesu Awesu alisema “Kwanza ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa leo, Lakini kubwa zaidi nawashukuru wadhamini wa timu ninayoitumiikia kwani imekua faraja kuifikia siku hii na kuweza kutoa msaada kwa jamii yangu iliyonikuza na kunilea nawashukuru sana Meridianbet kwa namna wanavyohakikisha wanarudisha kwa jamii hata kile kidogo wanachopata”
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Matina Nkurlu pia alipata nafasi ya kuzungumza “Hiki kilichofanywa na Awesu ni uungwana kwa maana ya tafsiri ya Uungwana ni pamoja na kujali njia ulizopita na kuzipa faraja.
Jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili leo ushinde mtonyo mrefu, twende kazi.
“Leo Meridianbet tukishirikiana na Awesu Awesu kuzipa faraja familia na wakazi wa Magomeni alipoishi Awesu hadi kufikia ndoto zake, Na kesho huenda akawa mtu mwingine mkubwa akafikia jamii yake kupitia sisi, Hivo basi tunaahidi huu utakua mwendelezo kutoka Meridianbet kwa kshirikiana na klabu ya KMC FC kurudisha kwenye jamii” Alisema Matina Nkurlu
Lakini pia waliopokea msaada hawakua nyuma katika kushukuru kile kilichofanywa na Awesu Awesu kwa kushirikiana na Meridianbet na kusema wamefurahishwa sana na kilichofanywa na kijana wao kuweza kuwakumbuka na kuwapa msaada, Vilevile wakitoa shukrani kwa Meridianbet na kusema wao ni mfano wa kuigwa kwani wamekua wakirudisha kwenye jamii kila inapowezekana.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE
More Stories
15 wajinoa Juventus,akiwemo mtoto wa Mwenyekiti wa CCM Mbeya
Za Kwetu Fashion Show, yawapaisha wanamitindo nchini
TCAA yaadhimisha siku ya usafiri wa anga Duniani kwa kushiriki mbio za Marathon UDSM